Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Friday, November 8, 2013

TUKIO LILILOTOKEA CBE DODOMA MUDA MFUPI ULIOPITA HILI HAPA..............PATA TAARIFA!!

 

Haya ndio yaliyojili leo katika Chuo ya Cbe Dodoma campus, siku ya leo tarehe 09/11/2013 mnamo saa 10:00 Am kulikuwa na mass campain chuoni hapo kumtafuta Raisi wa serikali ya wanafunzi yaani Raisi wa COBESO, Wakiwa wagombea wawili 

Bw. REMIDIUS EMANUEL na Bw. DOTTO LEONARD. Mnamo wa saa saa sita wanafunzi walianza kupiga kura zao mpaka saa kumi na mbili.

Rais wa sasa wa chuo cha CBE Dodomaaliyeshinda

kwakishindo ni

 Bw. REMIDIUS EMANUEL akiwa na makamu wake Bw. YUSUPH OMARY YUSUPH

                                       Rais wa Chuo cha CBE Dodoma akiwa nawadau wake.


Wanafunzi wakimsubilia Rais mti Mawazo.

No comments:

Post a Comment