Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Saturday, January 4, 2014

JIONEE SHINDANO HILI LA ‘THE MOST DANGEROUS SELFIE’

Kwa wale wapenda picha za kujipiga wenyewe yaani ‘Selfie’ kuna mchezo umeanzishwa mtandaoni unaojulikana kama ‘Selfie Olimpics’.
selfie-1
Mchezo huo ambao umeonekana kuwavutia vijana wengi zaidi unawataka watumiaji wa Facebook, Twitter na Instagram kupiga cpicha za hatari ‘The most dangerous and outlandish selfie ever’ na kuzipost katika mitandao hiyo.
selfie-2
Mtandao wa Business Insider umeripoti kuwa ukurasa wa Facebook uliofunguliwa masaa kadhaa yaliyopita tayari umepata likes 30,000 na kuna picha 28,000 tayari zimewekwa Instagram za mchezo huo.
Jionee mwenyewe baadhi ya picha za shindano la wataalam wa selfie.
selfie-3
selfie-4
Selfie-7
Selfie-8
Selfie-9
Selfie-10
Selfie-11
Selfie-12
Selfie-13
Selfie-14
Selfie-15
Selfie-16
selfie-5
Selfie-6
Source: Mail Online

No comments:

Post a Comment