Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Friday, December 20, 2013

BUNGE LASITISHWA MPAKA KESHO SAA TATU ASUBUHI, RAIS KIKWETE ATENGUA UWAZIRI WA MAWAZIRI WANNE .....HABARI HII HAPA




Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda amesema kwamba Rais Kikwete amekubali kutengua nyadhifa za mawaziri wanne kufuatia ripoti ya 'Operesheni Tokomeza' iliyotolewa mapema leo bungeni.
Mawaziri hao waliotenguliwa nyadhifa zao ni

: Mhe. David Mathayo David wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Balozi Khamis Kagasheki wa Maliasili na Utalii, Mhe. Emmanuel Nchimbi wa Mambo ya Ndani na Mhe. Shamsi Vuai Nahodha wa Ulinzi.
Mhe. Kagasheki alitangaza kujiuzulu mapema kabla uamuzi huo uliotangazwa na Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment