Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Wednesday, October 9, 2013

JACKLINE WOLPER NA RAY WATALII KWENYE MBUGA ZA WANYAMA......!!

MASTAA kunako tasnia ya filamu Bongo,Jackline Wolper na Vincent Kigosi’Ray’wametembelea mbuga za wanyama Jijini Arusha huku wakiendelea kurekodi filamu yao mpya.
Kupitia account zao za Instragram wamepost picha mbalimbali wakitazama wanyama huku Ray akiandika …Hii Sehemu inaitwa National Parks ipo Arusha. Kuna vivutio vingi sana vya kuifanya Nchi Ye2 Kujitegemea bila Misaada.
…Hapa Kuna Maji ambayo Yanatoka Juu na kuporomoka Chini yani WaterFalls.

No comments:

Post a Comment