Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Friday, September 27, 2013

MAPENZI SIYO UZOEFU MAPENZI NI UTUNDU.... CHECK BINNTI HUYU ANATESWA NA MAPENZI.


Admin naomba post hii ...Mimi nimsichana wa miaka 25 sasa ..Nashindwa hata nianzie wapi ila kifupi mimi sina bahati na wanaume at all..Nina sura na umbo zuri na amini hilo kwani kila napokwenda lazima nitongozwa ama nisumbuliwe na wavulana njiani mpaka nimezoea...ila tatizo linakuja pale napomkubalia mwanaume na kuwa wapenzi ..wakishapata wanachohitaji hawakai kabisa...nimetembea na wavulana wengi tu kila anaenipata anakaa kidogo na kuanza visa na kuniacha ...Mie najua kupenda naamini....Marafiki zangu wanaolewa ila mimi hakuna hata aliye nivisha pete na uzuri wangu huu..hadi najilaumu labda umbo langu limekaa kistaree tu na sio wa kuolewa...kwa sasa nimekata tamaaa nawachukia wavulana kila atakaye nitongoza nahisi anataka kitu tu alafu akimbie...Nisaidieni kwa Ushauri.

1 comment:

  1. Pole sana!
    Wanaume waoga sana! Kisa hicho kimetokea kwa rafiki yangu wa karibu sana, jamaa kakataa demu kisa eti wanaume wataniibia.
    Uikate tamaa lakini wa kwako yupo anakuja
    Ila mwanawane.....! Mashalaaaaaaaaaaaah .....!

    ReplyDelete