Gazeti La Makorokocho limefanikiwa kudaka ujumbe mfupi wa maneno kutoka
kwa Msanii Mkongwe wa Bongo Flava Afande sele uliokua umekusudiwa
kwenda kwa mama watoto wake Bibie Asha a.k.a Mama Tunda waliyeishi kwa
zaidi ya miaka 10 ujumbe huo ulipotea njia na kuangukia kwenye Mikono ya
Snitch Mzuri wa Makorokocho, katika Ujumbe huo inaonekana Mama Tunda
alikua anataka kwenda kwa Afande Sele pamoja na Watoto lakini Afande
akawa anamsihi asiende kwa sababu atakua nje ya Mkoa wa Morogoro na
Afande akamlaumu mwanadada huyo anayeitwa Asha kuwa amempotezea Muda,
Mali na Nguvu zake nyingi sana kwa muda wote walioishi pamoja, Afande
akaombwa aachwe alone. -
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment