
Picha
ya muwangaji aliyekamatwa kijiji cha mkongoro bwana SAMSON NTAHOGOLA
aliyekamatwa juzi akiwanga.Jana majira ya saa tano asubuhi polis kutoka
kituo kikuu cha polis mkoa wa kigoma walifika eneo la tukio na kuondoka
na muwangaji huyo.Aidha bwana SAMSON alishuhudiwa na mamia ya watu huku
akiwa amevaa chupi na kandambili tu.Kubwa kuliko jamaa huyo
alisafirishwa kupelekwa kituo cha polis akiwa amevaa chupi tu na huku
ameshikilia kandambili(ndala)mkononi.
No comments:
Post a Comment