Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Saturday, February 15, 2014

MCHEZO WA KUVUTA KAMBA WA KONGA MIOYO YA WATU KIBAOOOO.


JAPHARI
Mwili huu waanza kuogopesha wanafunzi na kutabiri ushindi na baadhi ya wanafunzi waanza kubeti ushindi kuwa kundi la Japhari linashinda  baada ya kushiriki kwenye uvutaji wa kamba.
 zilikuwa pande mbili kila kundi moja lilikuwa na watu saba (7) kundi la Japhari baada ya kuibuka na ushindi wakawa na vikwanzo vya kusema kundi hilo lilikiwa na watu wenye nguvu sana tofauti na wao, Mwandishi alipata nafasi yakuongea na Mhe; Njau ambaye alishiriki kwenye kundi la pili akisema.
 "siku zote asiye kubali kushindwa siyo mshindani sisi tumekubaliana na ushindi wa wenzetu ukweli utabaki palepale naamini wanasitahili kabisa kupewa ushindi maana baada ya kuvutana nilihisi mkononi kama kunakisu kinakata kumbe ndio nguvu zao, to be honest walijipanga yangu hayo mwandishi "

Baada ya ushindi

Hongereni sana
kwa upande wa dada ikawa hivi

No comments:

Post a Comment