Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Friday, January 3, 2014

DANCERS WAVUNJA MBAVU MASHABI WAO WAKIWA KWENYE STAGE.

Vijana hawa walisimama na kwenda mbele ya umati wa watu kucheza mziki wa style moja maarufu kama kwaito, vijana hao walijikuta wanavunja mbavu za mashabiki wao kwa mwenendo ambao waliuonyesha bila mashabiki hao kutarajia kuwa vijana wanaweza kucheza style hizo. Vijana hawa walionyesha ufundi mkubwa  sana jukwaani baada ya nyimbo moja kutumia zaidi ya style 5 na mifumo tofauti tofauti, mwandishi wetu anasema " vijana hawa ni machachali kweli kwenye sehemu hii ya Burudan, mashabiki walishikwa na butwaaa nakuanza kupiga makofi bila kujizuia"
 walitambulika majina yao ya kiburudani baada ya kupiga show hiyo wa kwanza Stoperstoper Jagajaga, Numvire Ground, Man kipanga na Midimidi.
style ya kanyaga nyoka ikihusika hapa
Style ya kuhesabu kupanda na kushuka kwa Bega hatari sana najuaaa.......ushaelewa!!
Mashabiki wakishangaa style za vijana hao wakifanya kwa mjibu wa burudani.

No comments:

Post a Comment