Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Wednesday, November 13, 2013

MATOKEO YA MECHI KATI YA TAIFA STARS NA FUTURE TAIFA STARS HAYA HAPA.





stars mechi

Mwandishi Saleh Ally ameripoti kwamba Kikosi cha Taifa Stars kimecheza mechi na Future Taifa Stars November 13 2013 na kuchukua kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Future Taifa Stars.
Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Karume, Stars walicheza taratibu na kwa kujiamini huku vijana wa Future Taifa Stars ambayo ni timu ndogo ya taifa walionyesha wamepania zaidi.
Bao pekee katika mchezo huo lilifungwa na Elias Maguri ambae alipokea pasi safi kutoka kwa Haruna Chanongo
Stars walijitahidi kusawazisha lakini haikuwa kazi rahisi na mpaka mwisho, ngoma ikalala wakubwa wakienda doro.

No comments:

Post a Comment