Nawashangaa
sana watu wengine mnajifanya mnajua sana kuongea kuhusu mambo yasiyo
wahusu kuna mzazi yoyote anataka mwanae apotee ache mambo ya kishamba
unataka mtoto avae dira kwani yeye mtu mzima kama unaona namlea mtoto
wangu vibaya niachie mwenyewe zaa wa kwako mlee vizuri.
Hayo ni maneno ya mwanadada Kajala
aliyoyasema leo baada ya fans wake mbalimbali kuanza “kumponda” kuwa
anamlea mtoto wake “ndivyo sivyo” hususani suala kumvalisha mtoto wake
vinguo vya “wadada wa mjini”
Kajala ambaye mara nyingi anaonekana akiweka picha mbalimbali za
mwanaye huyo aitwaye Paula akiwa kwenye mapozi tofauti alizidi
kusisitiza kuwa mtoto huyo ni wake na ambaye hapendi anachofanya basi
atafute wake.
Kauli yake hiyo ilipokewa kwa hisia tofauti na mashabiki wake ambao baadhi yao walisema yafuatayo kumsapoti….
“…tena wakukome ma sis wanajua uchungu wako ulioubeba au au wanajua
umemkuzaje mpaka kufika ... nyamafu hao wakosa akili wana low life
yamaisha they av got nothing better to do Wa africa uwa tunamatatizo
dunia nzima mtoto wa mwenzio anakuhusu nini ukse umuongelee kweli
Education kitu kuzuri ukisoma unafikilia utaongelea kiumbe we kazi.
Acheni ujinga na utumwa business za wenzenu zinakuwa zenu.. thats ma bby
paullet right there and am proud she is a grown gal hun.. kay ma mdogo
never give a Fuck life is unbilivable!!!! Family first...”
Na wengine walizidi kukazia kuwa abadilike kwani hiyo sio sawa kwa kusema…
“Umeambiwa kistaarabu tu hako nguo ckazur kwa umri wake ukizingatia
unamtoto mrembo hebu uwe unamvalisha vzr sio nguo zakumfanya wanaume
waanze kumtaman…”
No comments:
Post a Comment