Kutoka "Kigoma all stars" yaani Baba Level akisindikiza usiku wa Masuperstar leo tarehe 09/11/2013. Akisimama na Top nyota wa Fiesta Dodoma kwa kiingilio cha 5000/= couple na 3000/= single hii siyo yakukosa leo. Hapatoshi ndani ya CLUB LA AZIZ CLASSIC Dodoma.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
8 months ago




No comments:
Post a Comment