Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Sunday, October 27, 2013

Balozi ISAAC ABRAHAM SEPETU amefariki dunia jana katika hospital ya TMJ Mikocheni jijini DSM.


Pichani ni mama yake Wema pamoja na mtoto wao Wema na marehemu Mzee Sepetu
Balozi Abraham Isaac Sepetu amefariki dunia mapema leo akiwa katika hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa Kisukari na kiharusi alioupata hivi karibuni mjini Zanzibar. Balozi Sepetu, ambaye pia ni baba mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu, hadi anapatwa na ugonjwa na hatimaye mauti alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment