Baada ya kuwasili uwanja wa ndege Zanzibar
Akiongea mawili matatu na baadhi ya waandishi waliokuwa wamepiga kambi uwanjani kunisubili
Watu walikuwa wameshapata taaarifa kuwa amewasili, hapa baadhi ya mashabiki wakisubiri kwa hamu kumwona the president
Akizungumza na watu wake wa Zanzibar ndani ya kituo kikubwa kabisa cha Radio Zanzibar.Coconut Radio
Baadae nikakutana na waandishi wa habari ndani ya hotel ya kisasa kabisa,Zanzibar beach lesort
Wanahabari kazini
No comments:
Post a Comment