Wanasayansi wamekuza jino kutoka kwa mkojo wa binadamu
Matokeo
haya yaliyochapishwa kwenye jarida la utafiti wa kisayansi la Cell
Regeneration, yalionyesha kuwa mkojo unaweza kutumika kuunda celi ambazo
zinaweza kutumika kukuza vimelea vinavyofanana kama meno.
Wanasayansi
kutoka China waliofanya utafiti huo wanatumai kuwa utafiti huu unaweza
kutumika kuwapa watu wasio na meno fursa ya kuwa nayo. (HM)
No comments:
Post a Comment