WEZI WAGEUZA WIZI KUWA AJIRA NA WATU WAMEGUNDUA UJANJA NI KUGEUZA MIILI YAO KUWA UWANJA WA KUPIGA....NDANI YA KARIAKOO
Mtu anaedaiwa Kuhusika katika tukio la Ujambazi lililotokea Maeneo ya
Kariakoo Jijini Dar es Salaam jana akiwa chini ya Ulinzi baada ya
kukamatwa. Watu wawili waliuwawa jana na majambazi wakati wakipora
fedha.
No comments:
Post a Comment