TAZAMA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA MUUNGANO ULIOFANYWA NA WASANII 50
Wasanii kwa pamoja
Wasanii
50 wa muziki wa Bongo Fleva, Hiphop, Injili, Dance na Taarab
wameungana pamoja na kufanya wimbo wa kuhamasisha Muungano unaotoka
April 26 2014. Tazama baadhi ya picha zake hapa.
No comments:
Post a Comment