Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Wednesday, April 16, 2014

DEMU WA KIBONGO KUTOKA MWANZA ALIYEFANYA VIDEO NA RICK ROSS,

 



CYNTHIA MASASI (TANZANIA)

Ni Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake Marekani.Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini Marekani.Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile, Jazze Pha, Rick Ross na
wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey Songz Ft Rick Ross,Juelz Santana , Dont touch me – Busta Rymes na I know you see it ya Young Joc.

No comments:

Post a Comment