MRADI WA UMEME KIGOMA VIJIJINI
Ndugu wadau kuna mpango wa kusambaza umeme katika mkoa wetu wa kigoma, kutokana na maelekezo ambayo nimepewa na mdau kutoka tanesco kigoma ni kwamba tayari wakala wa umeme vijijini rea wamekwisha kupeleka msambazaji wa mradi huo na pesa kwa ajili hiyo zilishapatikana hivyo kilichobakia ni utekelezaji wa shughuli hiyo . vijiji vitakavyofaidika na umeme katika awamu ya kwanza ni Kiganza, Bitale, Mkongoro, Kalinzi, Matyazo, Mkabango, Nyarubanda, Nyakimwe, Mnanila na Manyovu 31 Uvinza 383,640 Kupeleka umeme katika Makao Makuu ya wilaya mpya ya Uvinza (Lugufu) na vijiji vya Kamala, Simbo, Kidawe, Mlela, Kalenge, Kazulamimba, Mwamila, Uvinza town na Kibaoni
Katika awamu ya pili umeme utapelekwa katika maeneo haya Makao Makuu ya wilaya mpya ya Buhigwe 28 Kakonko 167,555 Kupeleka umeme katika Makao Makuu ya wilaya mpya ya Kakonko 29 Kasulu 634,038 Kupeleka umeme katika Vijiji vya Kidyama, Nyakitonto, Nyamidaho, Makere, Nyansha, Murufiti, Lalambe, Titya, Nyumbigwa, Bugaga, Nkundutsi, Muzye, Kasangezi, Rusesa, Kwaga,
Na awamu ya mwisho itakuwa 32 Kibondo 261,331 Kupeleka umeme vijiji vya Kasebuzi 1, 2, & 3; Kumuhama naKumwambu 33 Hai
Naomba walioko kigoma mtupatie uhakika je walio katika maeneo hususani ya kigoma kaskazini wameshapewa taarifa hizo? Au ni ile miradi ambayo huishia katika makaratasi? Nimeambatanisha na nakala ya wakala wa umeme REA kuonesha maeneo yote ya tanzania ambayo yatapata umeme 2013/2014. kama una kompyuta pitia na wewe uone .je kijiji chako kiko katika mradi?
habari na SWAGE ZAIRI
No comments:
Post a Comment