Mwenyekiti
wa muda wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe.Pandu Amir Kificho akiwa
amesimama kutoa muongozo wakati wa kikao kilichofanyika jioni ya leo
mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akibadilishana mawazo na Mhe.Samweli Sitta.
Mhe. Anna Makinda akiteta jambo na Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro.
Katibu
wa wa Bunge la la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Thomas
Kashililaakizungumza na baadhi ya wajumbe wa kamati ya rasmi ya kanuni
za bunge kabla ya kikao kuanza jioni hii.
Mjumbe wa Kamati ya Kanuni, Mhe.Tundu Lissu akijibu hoja zilizowasilishwa na Wajumbe wa Bunge hilo la Katiba.
Mhe. Hamad Rashid akichangia hoja.
Mhe Betty Machangu akichangia
Mhe. Hezekiah Wenje akichangia mjadala wa kanuni za bunge maalum leo.Picha na Deusdedit Moshi
No comments:
Post a Comment