Mwili
wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, una agwa leo na
kupewa heshima za mwisho katika ukumbi wa ukumbi wa Karimjee jijini Dar
es Salaam,kabla ya kusafirishwa kwa ajili ya mazishi, yatakayofanyikwa
Mkoani Iringa.
Wananchi wote watakaoshindwa kusafiri kwenda Iringa watapata nafasi ya kutoa heshima zao za mwisho katika ukumbi wa Karimjee.
Marehemu Mgimwa alifariki dunia tarehe Mosi ya mwezi huu huko nchini Afrika Kusini ambako alikwenda kwa ajili ya kupata matibabu kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amin.
No comments:
Post a Comment