Wajay Diego Crv - : Nakumbuka miaka
miwili iliyopita nilipomtembelea Mh.. Mmoja pale Osterbay aliwahi
kunieleza yafuatayo...
(1) Alinieleza kuwa kweli CHADEMA ni Tishio kwa
Serikali ya Chama Tawala na kila siku chama Tawala kinatafuta njia ya
kuangamiza CHADEMA...Lakini Pia alinieleza miongoni mwa watu wanaoumiza
vichwa vya watu wa Chama Tawala Mmojawapo ni ZITO KABWE...Na aliendelea
kusema Kama yeye angekuwa na Mamlaka ya Kutuchagulia Rais wa Tanzania
alisema wazi kabisa DR SLAA anastahili kuwa Rais wetu..nilimuuliza
kwanini?
Alinijibu katika Taifa letu kati ya Watu ambao wana hisia za
Mwalimu Nyerere Basi SLAA ni mmojawapo na alisisitiza kuwa Dr Slaa
anamfahamu vizuri tokea wakiwa Chuo kikuu cha Dar es Salaam na Mpaka
walipokutana tena Italy kwa Masomo...Aliendelea kunieleza kuwa Chama
Tawala kipo katika mkakati mkubwa wa kuhakikisha mpaka 2015 CHADEMA
wanavurugana wenyewe kwa wenyewe na mwisho nguvu waliyonayo
itapotea..
Alisikitika sana kwa kuwa CHADEMA wenyewe walikuwa hawalijui
hilo....na kwa kuwa kipindi hiko CHADEMA Walikuwa na Kesi mbalimbali
pale Arusha na kila siku vurugu zilikuwa zinatokea alinieleza wazi
kabisa Chama Tawala kinafurahia Vurugu zinazofanywa na CHADEMA kwa
sababu Watanzania hawajazoea Vurugu na Mwisho wa Siku CHADEMA
wataonekana watu wa Vurugu na Watakimbiwa...
Alisema kama unauwezo wa
kufikisha Habari kwa CHADEMA Waambie waache vurugu zinawashushia thamani
ya Chama chao....Lakini nilimuuliza swali kwanini Serikali haichukui
hatua kwa viongozi wahovu na Wachafu? Alinijibu kuwa kwa sababu hakuna
msafi ambaye anaweza kumnyooshea kidole Mwenzake kwani kila kiongozi
serikalini ana machafu yake ndiyo maana wanashindwa kukemeana....na
akasema pia walau Mzee Warioba anajaribu kupiga piga kelele lakini
hakuna anayemsikiliza...
Lakini nilimuuliza katika Ccm nani anafaa kuwa
Rais kati ya Samwel Sita, Asha Rose Migiro, Edward Lowasa, Harison
Mwakyembe, Benard Membe, pamoja na Lukuvi, Alinijibu wote hawafai kwa
sababu kila mmoja wao wana mapungufu makubwa...ambayo ni Uwezo wa
kuongoza Taifa, Elimu, Ukabila na Udini, Ujanja ujanja mwingi, tuhuma za
ufisadi, pamoja na kujifanya watoto wa Mjini...lakini alisema Lowasa
ana nguvu kubwa kati ya hao wote niliowataja na akasema pia Kipindi yupo
waziri mkuu ofisi nyingi za Serikali walipewa kashikashi ya kutakiwa
kufanya kazi....ila tatizo kwake alisema
Tuhuma za RICHMOND ndiyo
jinamizi kubwa ambalo litamsumbua na kama anataka kuwa Rais wa Tanzania
basi anatakiwa kufanya kazi kubwa kuwapa Imani wananchi juu ya Usafi
wake na Uadilifu wake kwa kuwaonyesha wananchi kutohusika kwake na
Sakata la RICHMOND.....
BAHATI MBAYA SANA MANENO NILIYOAMBIWA MIAKA
MIWILI ILIYOPITA SASA NAYAONA....NAMUONA LOWASA AKIFANYA KAZI KUBWA YA
KUJISAFISHA NA WANANCHI WANAREJESHA IMANI KWAKE, WIZARA YA UCHUKUZI
NAONA JINSI AJIRA NYINGI PALE BANDARINI, UWANJA WA NDEGE ZIKIENDA
KIUKABILA IKIWEMO NA NAFASI ZA JUU ZA UTENDAJI KUTEULIWA KIKABILA,
NAKIONA CHADEMA KIKIVURUGWA NA KUONEKANA CHAMA WAHUNI WENYE
VURUGU....NAWAHURUMIA CHADEMA MBAYA WAO HAWAMJUI...

- 5 people like this.
- Shareef Haidar Chamshama Umepost uharo mtupu asubuhi yote hii! Kha!26 minutes ago via mobile · Like
- Raymond Msimbe lowasa ndo kali yenu19 minutes ago via mobile · Like
- Mkulima Fukara Kritiki Ibara ya 6.3.6(b) mpaka (f) ya Katiba ya chadema na 6.5.3(b) ya Kanuni za Uendeshaji,NDIO MCHAWI WA CHADEMA.....MKIWEZA KUVITENDEA HAKI VIPENGELE HIVYO,NAWAAPIA MNACHUKUA NCHI 2015...LAKINI MKISHINDWA(mmeshashindwa tayari)MTAENDELEA KUTIFUANA MPAKA MLALE SALAMA AMINA18 minutes ago via mobile · Like
- Andrew Mwakalenge Umeongea mambo makubwa ambayo watu wengi hawayajui. Wengi watakutukana lkn uko makini sana. I was not expecting that kuna watu wataujua ukweli uliojificha nyuma ya pazia. THIS IS THE BEST POST TO START WITH THIS YEAR(2014).17 minutes ago via mobile · Like · 4
- Paschal Zihoka Joseph Haule MWONGO MKUBWA SLAA HAJAWAH SOMA MLIMANI17 minutes ago via mobile · Like · 1
- Makora Makang'a Makora Ha ha ha ha ha! Slaa UDSM?? Ha ha ha ha!7 minutes ago via mobile · Like
- Dennis Mapunda AYA NIPE PROFILE YA DR SLAA7 minutes ago via mobile · Like
- Dennis Mapunda AYA NIPE PROFILE YA DR SLAA6 minutes ago via mobile · Like
- Cirrus Mahimbi katika vitu ambavyo sijawahi sikia ni dr slaa kusoma udsm ni uongo3 minutes ago via mobile · Like
- Wajay Diego Crv Paschal Zihoka Joseph Haule Soma vizuri hiyo hakuna sehemu iliyosema Slaa kasoma UDSM ila walikutana UDSM siyo kila mtu ambaye utakutana naye UDSM KUWA ANASOMA PALE...KILE NI KITOVU CHA ELIMU KUNA MAMBO YAPO PALE..NA WATU WANAKUTANA...STRENGTH UR BRAIN BROTOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment