Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Tuesday, January 28, 2014

HABARI MPYA KUHUSIANA NA GRACE MWANAMZIKI WA NYIMBO ZA INJILI

MWANAMUZIKI GRACE AMAH
 Ndoa ya huyu  dada inaelekea kuyumba, mume wake anadai kwamba alikuwa anahisi muda mrefu kuwa mke wake anatembea na mfanyabiashra mmoja mkubwa.


Ila mwana dada huyu nae alijitetea kwamba mume wake nae ni msaliti kwani alikuwa ni mchungaji nae aliachishwa 
kazi hiyo kutokana na kashfa za ngono..

No comments:

Post a Comment