skip to main |
skip to sidebar
UJUMBE ULIOTUMWA NA JACK CLIFF KWA MARTIN KADINDA UNASIKITISHA SANA
Yaelekea
mwanadada Jackie alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na
kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya
kubeba sembe. Jackie alijipanga na
kuamua kumuachia rafiki yake kipenzi Martin Kadinda maagizo na wosia
wake just incase ikatokea akafariki. Jackie aliweza kuandika ujumbe huo
kwenye status yake ya BBM kama inavyo onekana hapa chini.
Jackie
amekamtwa mapema mwezi huu Macau, China na kilo 1.1 za heroin na sasa
anasubiria hatma yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya
kulevya.
No comments:
Post a Comment