Bondia
Francis Cheka akiwa darasani hapa akimsikiliza mwalimu aliyekuwa
anafundisha soms la computer.Cheka ametimiza ahadi yake ya kurudi
shuleni kuongeza ujuzi zaidi mara daada ya chuo cha St Joseph cha mjini
Morogoro Kumpa nafasi ya bondia huyo kusoma bure chuoni hapo ikiwa ni
ahadi waliyoitoa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Wakati wa sherehe ya
kumpongeza bondia huyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment