skip to main |
skip to sidebar
MMILIKI WA VIUNGO BANDIA VYA BINADAMU VILIVYOKAMATWA KENYA-MOMBASA AJULIKANA, SOMA HAPA WALICHOKISEMA
Hatimaye mmiliki wa kasha la mizigo lililonaswa katika bandari ya mombasa likiwa na sanamu za vibwengo vya kutisha, amejulikanaKwa
mujibu wa taarifa rasmi, kampuni ya 'Market Masters' wanaomiliki maduka
ya Village Market hapa Nairobi wamekiri kuagiza shehena hiyo kwa
sherehe zao za kila mwaka. Wakati huo huo, mwanasiasa Omingo Magara
amekanusha kuagiza shehena hiyo na akaitaka halmashauri ya ushuru nchini
KRA kumuomba msamaha mara moja.
No comments:
Post a Comment