Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Friday, October 18, 2013

MANENO YA OMMY DIMPOZ KUHUSU SHOW ZA BONGO TUNALIPWA VIZURI KULIKO SHOW ZA NJE.

clip_image002
Msanii anayefanya vizuri kwenye anga la muziki Bongo, Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amefunguka kuwa shoo wanazofanya wasanii hapa nyumbani zinalipa zaidi kuliko zile za nje.
clip_image002[7]Ommy Dimpoz amesema kuwa, kulipwa mkwanja mdogo kwenye shoo hizo za mamtoni inatokana na idadi ya watu wachache wanaoingia kwenye shoo tofauti na Bongo ambako watu huwa nyomi.
clip_image002[9]
“Naweza kusema hapa nyumbani tunalipwa pesa nyingi kuliko ile tunayopata tunapofanya shoo nje, inategemea pia unaenda kufanya shoo wapi lakini ukweli unabaki kuwa hapa Bongo tunalipwa vizuri,” alisema msanii huyo
Ambaye juzikati alidondoka kutoka Marekani kisha kushusha bonge la shoo ndani ya Ukumbi wa Kimataifa wa Burudani wa Dar Live pale Mbagala Zakhem siku ya Idd.

No comments:

Post a Comment