Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Thursday, October 17, 2013

MAANDALIZI YA SHOW YA JUMA MOSI TAREHE 19/10/2013.......ANGALIA PICHA HIZI 11.

Katibu mwenezi (Frank a.k.a personal kid) akiendelea na vikao vyake kuhusu show kali ya juma mosi hii tarehe 19/10/2013
                       Stage itakayo tumika ndani ya Club la Aziz Classic.
 Sacho Buay akiwa na masela wake kibao wakijiandaa kunukisha siku ya juma mosi





 Gudbuay akiwa na wana hapa yote maandalizi ya kukinukisha juma mosi, duuuuuu hii mfuniko.
             Mwandalizi wa show hii Mkurugenzi Jagajaga Entretment.

No comments:

Post a Comment