Mtu
Ambaye jina lake halikufahamika mara moja akining'inia juu ya mti baada ya kukutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro.Chanzo cha mtu
huyu kujinyonga hakijafahamika.Kwa mujibu wa askari
aliyekuwepo eneo la tukio alidai kwamba askari wa doria waliokatiza
kwenye eneo hilo majira ya saa 10 usiku walishuhudia mwili wa mtu huyo
ukining'inia juu ya mtu .
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
9 months ago
No comments:
Post a Comment