Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Sunday, September 22, 2013

MASANJA MKANDAMIZAJI AENEZA NENO LA MUNGU KWENYE MKUTANO HUU...!


Masanja akihubiri neno la mungu kwa watu waliokuja kwenye viwanja vya Karume jijini Dar es Salaam kujionea uwokovu
Masanja akiendelea kutoa neno la mungu kwa watu hao waliofika kumsikiliza wakati wa tukio hilo

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Mchungaji mwenzake jina lake halikujulikana kwa kirahisi akihubiri neno la mungu kwa watu waliofika kwenye viwanja vya Karume hapo jana jioni
Baadhi ya watu waliofika kwenye mahubiri hayo
  Masanja akisikiliza kwa makini maneno yanayotolewa na mchungaji mwenzake jina halikufahamika
Wananchi walisogea mbele ili kuombewa na Masanja Mkandaizaji
Masanja Mkandamizaji akiongea neno na mmoja ya wananchi waliofika kwenye viwanja vya Karume kusikiliza injiri
Ilikuwa ni kuruka kwa shangwe kwenye viwanja vya Karume
Hapa ni kumwimbia mungu tu


Masanja akiwaombea watu waliofika kwenye mkutano huowa injiri.

No comments:

Post a Comment