Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Sunday, August 4, 2013

UNAPENDA KUFAHAM SAMAKI NTANGA NA NYIKA? FATILIA MANENO YA MHE. ZITTO KABWE.

Ntanga na Nyika ni samaki 2 wanaopatikana katika Ziwa Tanganyika. Ntanga ni samaki mwenye akili sana na hakamatwi kirahisi maana huruka juu kukwepa nyavu za wavuvi. Nyika ni samaki wa ajabu sana, yeye anatoa 'umeme', ukimshika anapiga 'shoti'. Waingereza waliivamia 'DeutschOstafrika' ambayo sasa ni Tanzania Bara kutoka Magharibi (kutoka koloni lao la Rhodesia). Kwa kutumia majina ya samaki hawa na jina la Ziwa walilotumia kuvamia koloni hili la Wajerumani, wakaita nchi yetu TANGANYIKA territory. Jina hilo likadumu mpaka Uhuru. Naona sasa linaelekea kurudi kwenye Mjadala wa Muundo wa Muungano.
                    
                    TOA MAONI YAKO.
 

No comments:

Post a Comment