TASWIRA MBALIMBALI KWENYE SEMINA YA TWENDE ZETU YA CLOUDS MEDIA GROUP DODOMA

Mbunge
wa Kigoma Kaskazini CHADEMA Ndugu Zitto Kabwe akizungumza na wasanii
mabalimbali wakati akitoa mada katika semina ya kampeni maalum ya “Twede
Zetu” iliyofanyika kwenye ukumbi wa African Dream mjini Dodoma leo ,
Kampeni hiyo inazungumzia na kuhamasisha vijana kuwa wabunifu na kutumia
fursa zilizopo ili kujikwamua kimaisha lakini pia kuleta maendeleo kwa
wasanii wenyewe na taifa kwa ujumla Watu mbalimbali wametoa mada katika
semina hiyo ambao ni Patrick Ngowi, Zeno Ngowi Msanii Mrisho Mpoto na
Ndugu Zitto Kabwe mwenyewe.

Watoa Mada katika semina hiyo Patrick Ngowi kushoto na Zeno Ngowi wakiteta jambo wakati wa semina hiyo.


Msanii Mrisho Mpoto ambaye pia ametoa mada katika semina hiyo

Mtoa mada Zeno Ngowi akizungumza na wasanii katika semina hiyo.

Ndugu Zitto Kabwe akiingia katika ukumbi wa mikutano wa African Dream mjini Dodoma.

Mtoa mada Patrick Ngowi akiingia kwenye ukumbi wa mkutano

Mkurugenzi wa Maendeleo na Utafiti Clouds FM Bw. Ruge Mutahaba akizungumza katika semina hiyo .

Mkubwa Fella kutoka TMK akizungumza katika semina hiyo

DJ Elly katikati Godzilla kushoto na Izo Busness wakiwa katika semina hiyo.

Benny Kinyaiya akizungumza katika semina hiyo kulia ni Babu Tale na kushoto ni Said Bonge.

Millad Ayo akizungumza

Anold Kayanda akitoa mawazo yake.

Ibrahim Masoud na washiriki wengine wakiwa katika semina hiyo


Dj fetty

Afande sele akiwa na wenzio

Khamis Mandi B12 akichangia Mada

Gerlad Hando

Shafii Dauda na Diva wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo
No comments:
Post a Comment