Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Saturday, December 14, 2013

MANDELA KUZIKWA JIRANI NA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NA MWANAE WA KIUME.....!

Jeneza la Mandela likitolewa katika ndege ya kijeshi iliyompeleka nyumbani kijijini Qunu.
Mwili wa hayati Nelson Mandela umepelekwa katika mkoa wa Eastern Cape kwa safari ya mwisho kabla ya kuzikwa Jumapili hii kijijini Qunu alikozaliwa. Baba yake, Mphakanyiswa Gadla Henry, mama yake Noqaphi Nosekeni na mwanae wa kiume Magkatho Lewanika Mandela walizikwa kwenye makaburi ya familia. Mandela aliomba azikwe jirani na familia yale.

Mamia ya watu walijitokeza katika barabara za mkoa wa Eastern Cape ambako Mandela  atazikwa nyumbani Qunu
Takriban watu 5,000 wanatarajia kuhudhuria mazishi hayo Prince Charles wa Uingereza, Mwenyekiti wa tume Umoja wa Afrika, Nkosazana Dlamini-Zuma, Rais wa zamani wa Zambia, Kenneth Kaunda, na mwanaharakati wa Marekani, Reverend Jesse Jackson.

No comments:

Post a Comment