Pamoja
na kuwa nyuzi joto 44 F siku ya Ijumaa Feb 14, 2013 bado theluji
iliyoanguka maeneo ya DMV (DC, Maryland na Virginia) usiku wa kuamkia
alhamisi Feb 13, 2014 ilikua haijaeyuka yote na kutokana na magari ya
wakazi wa DC kuegeshwa pendezoni mwa barabara na kufanya magari
yanayoplao theluji barabarani kuishia kufanya kazi hiyo katikati ya
barabara na kutokana na wakazi wengi kutokwenda kazini siku ya Ijumaa
Feb 14, 2014 iliwawia vigumu wapiga box kuegesha magari yao wakati
mwingine ilibidi waegeshe katikatii ya barabara na kuzuiwa wengine ili
waweze kufanikisha kazi yao ya kugawa mabox kwa wateja wao.
Mtaa mmoja wapo uliopo Washington, DC.
Mwenye van hiyo hajaendesha gari hiyo akisubili theluji kuyeyuka.
Mitaa ya Washington, DC inavyoonekana.
Mtaa wa Monroe Washington, DC unavyoonekana.
PICHA NA VIJIMAMBO BLOG
PICHA NA VIJIMAMBO BLOG
No comments:
Post a Comment