Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Sunday, September 22, 2013

BALAA LA INSTAGRAM DIAMOND PLATNUMZ NA NADIA....HIVI KWELI NI MASHEMEJI? HEBU CHEKI MWENYEWE






Jana Mambo kwenye Instagram mambo yalikuwa ni Diamond na Nadia tu picha kibao ..zao zikijadiliwa ...Huyo ni Mwanadada Nadia wa malaysia alipo Diamond kwa sasa akifanya show katika mapozi tofauti sehemu mbali mbali...Mpashaji wa habari hii ametuambia eti wanaitana mashemeji ....Mhh We Wasemaje kunani? au tuwaache walale?

No comments:

Post a Comment