
11 warudi CCM kwenye mikutano ya kampeni za Ubunge,akiwemo Mwenyekiti wa CUF Kata ya Msata Ndugu Idd Njema.
Ridhiwani awaambia wananchi wa Mkoko muda wa kutumia jembe la Mkono umekwisha ni wakati wa kuanza kutumia matrekta.
Asisitiza juu ya mpango bora wa matumizi ya ardhi










No comments:
Post a Comment