Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Tuesday, December 3, 2013

MAJONZI MAZITO KWA MSIBA WA BW. BENEDICT MARWA MUNGU KAKUPENZA ZAIDI.....!




 usiku wa kuaga mwili wa marehemu  Bw. Benedict Marwa kabla ya kusafirisha ilikuwa hivi ndani ya chuo cha elimu ya Biashara Dodoma.
 Mshauri wa wanachuo akitoa heshima mbele ya mwili wa marehemu, akisema ''Mungu alaze mwili wa marehemu pema peponi tulimpenda sana lakini Mungu kampenda zaidi''
 Sala za kuaga mwili wa marehe zikiendelea

 Mwisho wa sala na mwanzo wa safari ya kusafirisha mwili  wa marehemu

No comments:

Post a Comment