Mwanadada anaejulikana kwa
jina la EFReUNCINA Anaejishuhurisha na shuhuri za kuchekesha kwenye INYE
NDEMWENDENBWE amekuwa mtu wakutupia picha za hasara hasara kwenye
mtandao wa facecook kwa muda mrefu sana. bila yakuangalia maumbe yake
yalivyo. akiongea na blog hii ya burudani mmoja wa marafiki wa dada huyo
amesema niliandika coment kwenye picha hii lakini alifuta dada huyu
niliandika tangu uanze kuweka picha fb umepata mabwana wangapi mana kila
siku unaweka na hakuna jipya. hakujibu na matokeo yake alifuta coment
hiyo.
Tuzo za watendaji wakuu bora 100 wa mwaka
7 hours ago
No comments:
Post a Comment