Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Wednesday, January 1, 2014

BREAKING NEWS... WAZIRI WA FEDHA DK. WILLIAM MGIMWA AAGA DUNIA.


Waziri wa Fedha wa Tanzania DK. WILLIAM MGIMWA aliyekuwa amelazwa  katika hospital ya Milpark nchini Afrika kusini baada ya hali yake kuwa mbaya sasa amepoteza maisha yake.

 Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue, ambaye amesema Mgimwa amefariki majira ya saa 5:20 saa za Afrika Kusini ambapo ni sawa na saa 6:20 kwa majira ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment