Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Wednesday, January 1, 2014

HILI NI MOJA YA TUKIO LILILOTOKEA USIKU WA KUAMKIA MWAKA MPYA CBE.


Mkesha wa kuaga mwaka 2013 na kukaribisha mwaka 2014 kwa wanafunzi wa CBE waliusherekea mwaka huo katika viwanja vya CBE wakianza bonanza  la michezo baada ya hapo walihamia katika ukumbi wa New Hall, matukio yalikuwa kama ifuatavyo. Burudani kutoka kwa wasanii wa CBE, kazilizofanywa katika kila wizara, keki ya upendo na shampegn, kufungua rasmi Blog na Tovuti na Mhe; Remidius M. Emmanuel, Rais kukabidhi TV 4 katika Hostel za nje,Printer ya rangi kwenye wizara ya Habari na Mahusiano, Kio kwenye public toilet kwa upande wa kina dada, Ndoo na mwisho kuonyesha CD ya tukio zima la Freshers ilivyo kua.
Kuwa nami katika matukio haya







Msanii Patel

Msanii Patel
Msanii Tompwinyo
Msanii Tompwinyo
Msanii Tompwinyo


Meza kuu ikiwa chini ya Katibu Mkuu Kiongozi  Mhe, Dickson Msigwa wa kwanza kulia



Mhe: Dotto akigawa pipi
Mhe: Dotto akigawa pipi kwa Waziri wa Elimu


No comments:

Post a Comment