Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Thursday, January 16, 2014

MAISHA YA NUMVIRE AKIWA EDUCARE SECONDARY MWAKA 2007


Huwa nakumbuka Maisha yangu wakati nipo Educare Secondary School nikiwa na marafiki zangu wengi, tulishirikiana kwa pamoja wakati wote tulipokuwa shuleni. Nakumbuka sana rafiki zangu wa karibu wakati nipo shule ENOCKY ENOCY & KELVIN KIHONGOSI, swali ambalo huwa najiuliza, Hivi kweli ipo siku itatokea kweli tukutane kwa pamoja kama ilivyokuwa tarehe 01/01/2007? Ingawa wahenga walisema palipo na moshi ndipo moto upo
Numvire Ground inawatakia maisha mema marafiki zangu wote popote mlipo ndani na nje ya nchi hii.

No comments:

Post a Comment