Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Wednesday, November 20, 2013

SAMSUNG YAKABIDHI ZAWADI KWA WANUNUAJI WA BIDHAA HALISI KATIKA PROMOSHENI YA PAMBIKA NA SAMSUNG



 Mshindi wa Jokofu katika droo ya kwanza ya Pambika na Samsung Bi. Beatrice Kessy mkazi wa Dar es salaam akipokea zawadi yake ya Jokofu jipya lenye Warranty ya Miaka 10 aliyokabidhiwa na Meneja wa Samsung kitengo cha Simu na Teknolojia ya Habari, Kishor Kumar, katika hafla fupi ya makabidhiano ya zawadi kwa washindi wa wiki ya kwanza ya promosheni ya Pambika na Samsung yaliyofanyika Quality Center Dar es Salaam, pembeni yake ni Meneja Mauzo Rejareja wa Samsung, Sylvester Manyara
 Mshindi wa droo ya kwanza ya Pambikana Samsung Bw. Ally Abdallah akipokea zawadi ya Microwave toka kwa Meneja wa Samsung kitengo cha Simu na Teknolojia ya Habari, Kishor Kumar katika hafla fupi ya makabidhiano ya zawadi kwa washindi wa wiki ya kwanza ya Pambika na Samsung iliyofanyika Quality center, jijini Dar es Salaam. 
 Meneja wa Samsung kitengo cha Simu na Teknolojia ya Habari, Kishor Kumar (kulia) akimkabidhi zawadi Doroth Madereka (kwa niaba ya John Madereka mkazi wa Morogoro ambae ameshindwa kuhudhuria) ambae alishinda Luninga yenye teknolojia ya LED wakati wa hafla aliyofanyika katika eneo la kuegeshea magari la Quality Center.
Mshindi wa zawadi ya Kompyuta mpakato kutoka Samsung Bw. Christmass Gowele akipokea zawadi yake kutoka kwa Meneja wa Samsung kitengo cha Simu na Teknolojia ya Habari, Kishor Kumar wakati ya hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa wiki ya kwanza
Mshindi wa zawadi ya Simu aina ya Galaxy Tab 10.1 kutoka Samsung Bw. Abbass Moledina   akipokea zawadi yake kutoka kwa Meneja wa Samsung kitengo cha Simu na Teknolojia ya Habari, Kishor Kumar wakati ya hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa wiki ya kwanza
 Mshindi wa zawadi ya Home theater kutoka Samsung Bw. Hamis Kondo akipokea zawadi yake kutoka kwa Meneja wa Samsung kitengo cha Simu na Teknolojia ya Habari, Kishor Kumar wakati ya hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa wiki ya kwanza
Washindi mbalimbali wa bidhaa toka Samsung wakiwa wamebeba zawadi zao mara baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Samsung kitengo cha Simu na Teknolojia ya Habari, Kishor Kumar katika hafla Maalum iliyofanyika Quality Center Dar es Salaam. Wateja mbalimbali wanaonunu bidhaa za Samsung ndani ya wiki moja kuanzia tarehe 7 Novemba, 2013 mpaka 23 Desemba na kujisajili, wataingia kwenye droo za kila mwisho wa wiki ambapo washindi watatangazwa juma tatu ya kila wiki, na kwa droo ya mwisho mshindi atatangazwa tarehe 23 Desemba, 2013 na kuondoka na gari mpya aina ya Mitsubishi Double Cabin ikisheheni bidhaa za Samsung.

No comments:

Post a Comment