Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Friday, November 1, 2013

MSISIMKO WA MKOA WA DODOMA WAPELEKEA MAKOMANDOO WA THT KUTOA ZAWADI DODOMA.....SOMA HAPA.

Shangwe kubwa zikilindima mkoani Dodoma, Makomando wametia timu mkoani hapo leo tarehe 01/11/2013 lengo kuu ikiwa ni kutoa shukrani zao baada ya kufanya show zao ikiambata na ile ya Serengeti Fiesta, wamepata nafasi ya kuongea na NUMVIRE GROUND wakisema kuwa Mkoa ulioongoza kwa kutuma maoni kwenye page yao ni Dodoma sasa hawana budi kushukuru kwa dhati.
Wanasema kuwa wamekuja na zawadi kwawana Dodoma ambayo ni Ngoma yao mpya itakayo zinduliwa hapo kesho CLUB LA AZIZ.
Fatilia picha hizi Makomando wakiwa Dodoma.
                       Simple akiwa na wadau wa DodomaTompwinyo na Sacho bouy
                                     Muki, Fredy na Tompwinyo akisababisha hapa.
                         Sacho kutoka cbe akiwa na wasanii wenzake kundi la Makomando

                                   Angelo a.k.a Numvire Ground akiwa na makomando
                                  Simple akipata lunch na timu nzima ya makondo



Makomando wakiwa ndan ya Impact Fm Radio kufanyiwa interview, simple amefurahi sana kwa shangwe ambazo amezipata Dodoma, mwisho alisema anatarajia kesho kufanya show ya nguvu na yenye msisimuo.


 Muki akiwa na mtangazaji wa Redio Impact Fm material classic akitokelezea hapa.
 Simple,Fredy wakiwa na mtangazaji wa Redio Impact Fm material classic akitokelezea hapa.
              Manager naye alikuwa miongoni mwao Mr. Felix akiwa anapata lunch.


No comments:

Post a Comment