Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Saturday, October 26, 2013

PICHA 8 ZA DAVIDO, MOHAMBI NA ALAINE WAKIWA KATIKA STUDIO ZA CLOUDS FM JANA BAADA YA KUTIA TIM TANZANIA

ZIMEBAKI saa chache tu ifike time ya kuwaona kwenye stage ya Fiesta mastaa hawa wa kimataifa pamoja na wa bongofleva Leaders 88.5 Dar es salaam lakini wakati hiyo time ikisubiriwa, time hii millardayo.com inakuletea picha za mastaa watatu kati ya watano wa kimataifa… watatu hawa ni

Davido kutoka Nigeria, Alaine kutoka Jamaica na Mohombi kutoka Sweden ambae ni wa pili kutoka kulia hapo juu.

 Mtu wako wa nguvu Millard Ayo na Davido.
 Vanessa Mdee, Davido na B12.

 DAVIDO mwenyewe huyo

 Vanessa Mdee na Davido

No comments:

Post a Comment