Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Sunday, August 4, 2013

WABUNGE WATWANGANA NGUMI ANGALIA PICHA ZAO.

Picha: Ni wabunge wa Taiwan 'walivyoadabishana' jana baada ya kupishana maelewano kufuatia mpango wa kupiga kura ya maoni iliyoazimia kuidhinisha umaliziwaji wa mradi wa nne wa Nyuklia katika kisiwa ambacho kinakaliwa na watu wapatao milioni 23. Ha ha haaaaa!!! balaa!

No comments:

Post a Comment