Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Wednesday, August 21, 2013

TUKIO LAKUSHANGAZA WANANCHI BAADA YA KUAMKA NA KUKUTA UKUTA UMEBOMOLEWA NA WASIO JULIKANA.....!!!

                                Huu ni ukuta ulio bomolewa usiku  wa leo.
                                   Ukuta ulio bomolewa na Greda
 Majila ya saa tisa ( 03:15Am) kumetokea uhalibifu mkubwa sana katika mladi wa ujenzi maeneo ya Kihonda kwa Kwachambo.




 Baada ya Blogger wetu kutembelea Eneo la tukio ilionekana kila mtu haelewi maana jana usiku ukuta huo ulikuwepo mpaka majira ya saa tano usiku, Numvire Ground ilibidi imtafute mlinzi wa eneo hilo ili ijue chanzo cha tukio hilo.
           Wananchi wakiendelea kuhuzunika kwa tukio hili
 Hapa mmoja wao akiendelea kuelezea wenzake kilicho tokea usiku wakuamkia leo, muda huo tunaendelea kumtafuta mlinzi sasa sikiliza maneno ya Mlinzi kuhusu tukio hili.
Maneno ya Mlinzi anasema; Siku ya Alhamisi tarehe 22/08/2013. Majira ya saa tisa Alfajiri , Greda ilikuja  nawatu wakajitambulisha wao ni Asikali wanatakiwa wabomoe ukuta kwa kibali cha Munispal wewe mlinzi kambali na huu ujumbe fikisha kwa Boss wako, Baada ya hapo kazi ilianza mara moja, Blogger wetu alimuuliza Mlinzi huyo kitugani kilikuwa kinatakiwa kujengwa ndani hapo ya ukuta huo?
 Mlinzi hakuwa mvivu wa kujibu maswali yetu akasema, Ni mwarabu ambaye alikuwa anajenga shule ya  ISLAMIC FOUNDATION, 
pia tukaongea na wananchi, wanachosema ni kuwa huyu jamaa aliye jenga hakufanyiwa haki kwa sababu wakati anaanza kujenga wao walikuwa wapi mpaka kufika hatua hii ndio wanabomoa,
Chanzo cha tukio 
NUMVIRE GROUND


TOA MAONI YAKO HAPA.

1 comment: