Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Wednesday, August 14, 2013

CHEKI MSICHANA ALIYEMEZWA NA HAWARA YAKE AMBAYE ALIGEUKA KUWA NYOKA


Msichana mmoja kwa jina limeifadhiwa alikuwa na mpenzi wake ambaye alikuwa na maisha ya chini, kitendo ambacho kilimfanya atafute hawara mwenye pesa ambaye ataweza kumtimizia mahijati yake yote atakayo. Bila kujua hawara aliyempata hakuwa mtu wa kawaida. Siku ambayo wamepanga kuonana na hawara huyo ili waweze kuburudika kwa namna moja au nyingine, ndipo kizaazaa kikatokea. Wawili hawa walikuwa katika nyumba ya kulala wageni. Muhudumu wa nyumba hiyo alianza kusikia kelele zinapigwa na dada huyo kama kuomba msaada, ndipo muhudumu alipoamua kwenda kuita watu na kuja kuvunja mlango, hawakuamini walichokiona maana walikuta joka kubwa likimmeza dada huyo na hapakuwa na mtu mwingine ndani. Walichokifanya ni kupiga picha kwa kutumia simu na kukimbia chumba hicho. Baadae baada ya kupata ujasiri na kujikusanya watu wengi wakaamua kuingia tena katika chumba hicho. Cha ajabu hawajakuta tena joka hilo wala yule dada aliyekuwa anamezwa ila walikuta nguo na mkoba wa dada huyo ambao ndani yake kulikuwa na simu ambayo waliweza kuwasiliana na watu wake wa karibu ambao wapo kwenye phone book ya simu hiyo. Watu hao waliweza kufika sehemu ya tukio ndipo ilipofahamika kuwa binti huyo alikuwa na mpenzi mwingine.  Huwezi jua kilichojificha ndani ya giza hili mpaka huwe na tochi maalumu ya kumurikia.

No comments:

Post a Comment