Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Thursday, January 9, 2014

AJALI MBAYA YA GARI AMBAYO MSANII FALLY IPUPA AMENUSURIKA KUFA

 

Msanii maarufu nchini Congo Fally Ipupa amenusulika kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari majira ya usiku wa tarehe 7/1/2014, Hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo ila kuna mama ambae unamuona kwenye picha hapo chinialiumia vibaya sana na kukimbizwa hoptitali ambapo anapata matibabu mpaka sasa






Picha na Voice of Congo

No comments:

Post a Comment