Pages

Ads 468x60px

LIKE THIS PAGE FIRST.

Wednesday, January 1, 2014

ZAWADI YATOLEWA KWA COUPLE YA KUDUMU YA 2014

Ile couple bomba iliyojitokeza mwaka 2014 kutoka CBE ilipatiwa zawadi ya Keki na Mhe: Rais Remidius Emanuel baada ya kusaka couple ya kudumu ndani ya chuo chetu Bw.Jamali na mwenza wake Bi. Brenda walisimama kwa kujiamini mbele za watu na kutoa maisha yao kiufupi.
Rais aliwakabidhi keki hiyo kama ishara ya upendo wao wa kudumu
 "Maisha yenu yasiishie hapa hapa CBE yaendelee kwa amani na furaha na Mungu awe pamoja nanyi
maneno ya Rais
Hii ndio keki ya upendo
Walipo pewa fursa ya kutoa machache mbele za watu jinsi wanavyo pendana.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment