WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli amepiga kambi mkoani
Morogoro kusimamia mwenyewe ujenzi wa Daraja la Dumila ambalo ni kiungo
muhimu cha barabara ya Dodoma – Morogoro lililosombwa na mvua kubwa
iliyonyesha usiku wa kuamkia tarehe 22.01.2014 na kusababisha magari
kutopita kabisa ama yanayotoka upande wa Dodoma au Morogoro. Mbaya zaidi
hakuna njia nyingine mbadala zaidi ya hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment